Afisa wa polisi wa kike ajiua kwa kujipiga risasi JKIA

Afisa mmoja wa polisi amijitoa uhai baada ya kujipiga risasi katika kituo cha polisi cha uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta . Kulingana na ujumbe aliouweka kwenye mtandao wake wa kijamii wa facebook mapema leo, afisa huyo wa kike kwa jina Claudencia Wausi Muinde alionekana kutatizwa na jambo fulani ambalo hadi sasa halijafahamika. Gatete Njoroge ana taarifa hiyo kwa kina

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories