Gavana Gachagua aponea kufurushwa

Kulizuka kizazaa hii leo katika bunge la kaunti ya Nyeri wakati pande mbili za wawakilishi wa wadi zilipotofautiana kuhusu mswada wa kumwondoa mamlakani gavana Nderitu Gachagwa. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Victor Kenani, vuta nikuvute hiyo ilisababisha mtu mmoja kujeruhiwa.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories