Mgonjwa auliwa kwenye hospitali ya Mwingi

Polisi katika eneo la Mwingi kaunti ya Kitui wanachunguza kifo cha jamaa aliyeuawa katika hospitali ya Mwingi Level 4 baada ya kupigwa risasi na watu wasiojulikana ndani ya wadi. Fredrick Ngandi alikuwa amefikishwa katika hospitali hiyo saa chache kabla ya kuuawa akiwa na majeraha ya risasi aliyodai alipata baada ya kutekwa nyara na watu waliodai kuwa maafisa wa uchunguzi wa jinai nyumbani kwake eneo la Majengo, mjini Kitui

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories