Mseto wa Kaunti 23/08/2016

Wakaazi katika kijiji cha Getaare kaunti ya Nyamira wamebaki vinywa wazi wasijue la kusema baada ya  maiti ya mzee wa miaka tisini na sita kuzikwa bila jeneza kulingana na maagizo yake.mwanahabari wetu anatuarifu zaidi katika Mseto Wa Kaunti.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories