Raila awataka wabunge kuidhinisha mapendekezo

Kiongozi wa cord Raila Odinga amewarai wabunge kupitisha ripoti ya kamati teule kuhusiana na marekebisho ya tume ya uchaguzi na mipaka kama ilivyo bila ya kufanyiwa marekebisho. Odinga aliyasema haya baada ya mkutano na viongozi wa muungano wa Cord katika jumba la ufungamano hapa jijini waliokutana siku moja kabla ya ripoti ya kamati hiyo kuwasilishwa katika bunge la seneti na bunge la kitaifa. Mwanahabari wetu Gatete Njoroge anatupasha taarifa hiyo kwa kina

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories