Sheria Ya Benki,Rais Uhuru Kenyatta aidhinisha sheria hiyo

Rais Uhuru Kenyatta amepitisha kuwa sheria mswada wa benki unaolenga kudhibiti viwango vya riba kwenye mikopo. Hatua hii ni afueni kwa wanachi ikizingatiwa kwamba sheria hiyo imejaribu kupitishwa mara tatu bila mafanikio tangu mwka 2000. Victor Kenani anatuanzia nipashe kwa taarifa hiyo ambayo inatarajiwa kuzua hisia tofauti miongoni mwa washikadau wa sekta ya benki

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories