Wamalwa apigiwa upatu kumng’oa Kidero

Waziri wa maji Eugene Wamalwa anazidi kupigiwa debe katika azma yake ya kuwania ugavana, kaunti ya Nairobi. Wamalwa, anayeshinikizwa kumteua aliyekuwa mbunge wa starehe askofu Margaret Wanjiru kama mgombea mwenza, alitajwa kama kiboko cha gavana dkt. Evans Kidero, huku wabunge wa Nairobi Racheal Shebesh na John Ndirangu wakijitenga na msimamo wa kundi la wenzao linaloongozwa na Maina Kamanda, ambalo limemtaja wamalwa kama jogoo la shamba, lisiloweza kuwika mjini. Francis Gachuri ana taarifa kamili

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories