Wateja kusubiri kabla ya utekelezaji wa sheria ya benki

Huenda wakenya wakasubiri zaidi kunufaika kutokana na sheria iliyopitishwa hapo jana na rais Uhuru Kenyatta ambapo benki zitalazimika kupunguza viwango vya riba vinavyotozwa wakenya wanaochukua mikopo. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Patrick Igunza, licha ya wanachama wa muungano wa mabenki kutangaza kuwa wataheshimu uamuzi wa rais, hii leo wameeleza kuwa kuna masuala tata ambayo yanahitaji ufafanuzi kabla ya sheria hiyo kuanza kutumika katika mabenki.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories