President Uhuru Kenyatta has given what seems to be another clue as to what the much publicised handshake with NASA leader Raila Odinga may mean for t...
katika kaunti ya Bomet, mtoto mmoja aliaga dunia hapo jana baada ya kupokea chanjo ya ugonjwa wa Surua. Mtoto huyo aliyepelekwa katika hospitali ya Te...
Je, mwanamke aliyekomaa anaweza kupatiwa fursa ya kujiamulia iwapo angetaka kufanyiwa ukeketaji au la? Na je, sheria inayoharamisha ukeketaji inastahi...
Siku kumi tangu Rais Kenyatta kutoa majina ya watu tisa ambao ananuia kuwajumuisha kwenye baraza la mawaziri, taifa limebaki kukisia mipango ya rais k...
Uundaji wa baraza la mawaziri unaonekana kuwapa kisunzi Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto. Hapo jana wawili hao walifanya kikao kwa saa n...
Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais wameonekana pamoja hadharani kwa mara ya kwanza tangu rais kutangaza majina ya watu tisa ambao anawapendekeza kuwa m...
Muungano wa upinzani, NASA, utazindua karibuni kamati maalum itakayoshughulikia mipango ya kuapishwa kwa kinara wake Raila Odinga na Kalonzo Musyoka. ...
Hoja za kaunti za Kiambu na Kilifi kuhusu kutoa asilimia sabini ya nafasi za kazi katika taasisi za umma na za kibinafsi kwa wenyeji pekee zimepigwa v...
Watu wanne akiwemo mwanamke mmoja wanazuiliwa na maafisi polisi kwa tuhuma za wizi katika maeneo ya Kilimani na Kileleshwa. Watu hao ambao walipatikan...
Majaji hao walisoma uamuzi wa kina hii leo ambao ulifutilia mbali kesi ya kupinga uchaguzi wa Uhuru Kenyatta kwenye marudio ya uchaguzi Majaji hao wa...
Rais Uhuru Kenyatta amefanya mkutano na viongozi wakuu wa bunge la taifa katika ikulu ya Nairobi. Rais na naibu rais wamefanya mkutano na spika wa bun...
Huenda baraza la mawaziri litakatangazwa kabla ya krismasi. Inaarifiwa kuwa Rais Uhuru Kenyatta na naibu Rais William Ruto tayari wameshaafikia majina...
Huku Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais wakijitosa katika shughuli ya kuunda baraza la mawaziri ambalo litatekeleza ruwaza ya muhula wa pili wa rais na...
Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto sasa wamezamia mikakati ya kuunda baraza la mawaziri ambalo litamwezesha kutekeleza ruwaza yake na kadh...
Wanafunzi elfu kumi ambao hawakufanya mtihani wao wa KCPE mwaka huu watazidi kusubiri. Japo Rais Uhuru Kenyatta ameagiza kuwa wanafunzi ambao kwa asab...
Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya kuwakumbuka manusura na waathiriwa wa ajali za barabarani hapo kesho, eneo la Salgaa katika kaunti ya Nakuru linaz...
Ripoti za matumizi ya fedha za kaunti zinaonyesha kufujwa kwa mamilioni ya pesa na serikali na mabunge ya kaunti. Ripoti iliyotolewa na mkaguzi mkuu w...
Mahakama ya upeo itafanya kikao maalum cha kupanga mikakati ya kusikizwa kwa kesi inayoitaka kufutilia mbali uchaguzi uliofanyika mwezi jana ambapo Ra...
Rais Uhuru Kenyatta sasa hataapishwa akatika siku saba zijazo.hii ni baada ya kesi za kupinga uchaguzi wa Oktoba ishirini na sita kuwasilish...
Muungano wa NASA sasa umeashiria kuwa wafuasi wake watarejelea maandamano wiki ijayo. Mikutano ya viongozi wa NASA leo, imepanga mikakati ya maandaman...