logo

Articles by Citizen Reporter


 • 25 Mar 2017
  Makazi mabovu ya polisi kituoni Sagana

  Makazi mabovu ya polisi kituoni Sagana

  Hali ya vyumba wanavyoishi maafisa wa polisi katika kituo cha polisi cha Sagana ni ya kusikitisha. Vyumba vya matope na ambavyo vinaelekea kuporomoka,juhudi za kupata msaada zikiwa zimegonga mwamba...

 • Mombasa County Jubilee officials inspect Mvita grounds.

  Mombasa police ban Jubilee rally set for Sunday

  Police in Mombasa have banned Sunday's Jubilee rally that was to be held at Mvita grounds a few meters from the opposition NASA rally that is scheduled to be held at Tononoka grounds. Mombasa Count...

 • 24 Mar 2017
  Mike Sonko

  Sonko hints at ditching Jubilee should party ‘mess’ primaries

  Nairobi Senator, Gidion Mbuvi alias Mike Sonko, who is eyeing the city gubernatorial seat, has threatened to ditch Jubilee Party should the nomination process be flawed. Speaking to Citizen Digital...

 • 23 Mar 2017
  IEBC yatoa sheria za uteuzi

  IEBC yatoa sheria za uteuzi

    Huenda baadhi ya wawaniaji wa viti mbalimbali kwenye uchaguzi wa mwaka huu wakakosa kuwania viti vyao. Hii ni baada ya tume ya mipaka na uchaguzi, iebc, kuchapisha kanuni zinazofaa kufuatwa ...

 • Polisi walivunja mkutano wa Gavana Joho

  Polisi walivunja mkutano wa Gavana Joho

    Polisi katika kaunti ya kwale hii leo walivunja mkutano wa kisiasa uliokuwa uhutubiwe na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho na mwenzake wa kilifi amason kingi katika mji wa kinango. Mkutan...

 • Mamake mhubiri Pius Muiru auwawa

  Mamake mhubiri Pius Muiru auwawa

  Polisi katika eneo la kigumo kaunti ya muranga wanawazuiliwa washukiwa wawili kufuatia kifo cha mamake muhubiri pius muiru aliyetoweka siku tatu zilizopita na baadaye mwili wake kupatikana ukiwa umezi...

 • Ghasia uteuzi wa Jubilee

  Ghasia uteuzi wa Jubilee

  Ghasia na vurugu zilishuhudiwa leo katika ukumbi wa Bomas hapa jijini Nairobi wakati kambi mbili hasimu za wagombea ugavana kwa tiketi ya Jubilee zilipokutana ana kwa ana. Mkutano huo ulikuwa na lengo...

 • Munya: Madaktari hawatalipwa

  Munya: Madaktari hawatalipwa

 • 22 Mar 2017
  Rais Kenyatta na Naibu wake bado wapo Kisii

  Rais Kenyatta na Naibu wake bado wapo Kisii

 • Kiwango cha maji chazidi kupungua Ndakaini

  Kiwango cha maji chazidi kupungua Ndakaini

  Huku dunia mzima ikitenga siku hii ya tarehe 22 mwezi machi kuwa siku ya maji ulimwenguni, wakenya hawana lolote ya kuadhimisha. Inaarifiwa kuwa viwango vya maji katika bwawa la ndakaini vilivyokuwa l...

 • Kamari yamuuwa

  Kamari yamuuwa

  Mwanamume  mwenye umri wa miaka 30 amejitia kitanzi katika mji wa narok baada ya kudaiwa kupoteza pesa katika kamari ya mpira ambayo vijana wengi sasa wanajihusisha nayo. Joseph kariuki almaarufu kam...

 • Anne Waiguru

  The bitter truth about Public Accounts Committee and NYS scandal probe

  Last Thursday, the Public Accounts Committee (PAC) released a report that recommended among other things, fresh investigation into the National Youth Service (NYS) scandal that led to the loss of Ksh1...

 • 21 Mar 2017
  KRA yapoteza shilingi bilioni 4

  KRA yapoteza shilingi bilioni 4

  Mwanaume mmoja amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kujihusisha na wizi kupitia mtandao uliopelekea kupotea kwa shilingi bilioni nne kutoka kwa mamlaka ya ushuru humu nchini, KRA. Mshukiwa hata hivyo ...

 • Biashara ya majeneza Mombasa

  Biashara ya majeneza Mombasa

  Kufuatia  mgomo wa madaktari uliathirika pakubwa sekta ya afya humu nchini kwa kuwahanagaisha wagonjwa, wengi walidhani kwamba idadi ya waliopoteza maisha kwa kukosa matibabu ilikuwa juu. Hata hiv...

 • Utafiti wa TIFA: Magavana Joho, Mutua na Kabogo waongoza

  Utafiti wa TIFA: Magavana Joho, Mutua na Kabogo waongoza

  Iwapo uchaguzi mkuu ungefanyika leo, gavana Hassan Ali Joho wa Mombasa, William Kabogo wa kiambu na Alfred Mutua wa machakos wangechaguliwa tena kuongoza  katika kaunti zao.   Hii ni kulin...

 • 20 Mar 2017
  Mike Sonko

  Sonko under fire over albino remark

  Nairobi County Senator Mike Sonko is under siege over a comment made about his competitor for Nairobi County gubernatorial seat on Jubilee Party, Peter Kenneth. Speaking during an interview on Sund...

 • I will not step down for Peter Kenneth - Sonko

  I will not step down for Peter Kenneth – Sonko

  Nairobi Senator Mike Sonko has unequivocally vowed that he will not work with 2013 Presidential Candidate Peter Kenneth, saying he will never partner with someone who publicly opposed President Uhuru ...

 • 19 Mar 2017
  Kalonzo apuuza fununu ana mipango ya kutoroka NASA

  Kalonzo apuuza fununu ana mipango ya kutoroka NASA

  Kiongozi wa wiper kalonzo Musyoka amepuzilia mbali madai kwamba anapanga njama kujiondoa kutoka kwa muungano wa nasa endapo hatateuliwa kuwa mgombea urais. Musyoka ambaye aliandamana na kinara Mwenza ...

 • Peter Kenneth ataka mazungumzo yafanyike Jubilee

  Peter Kenneth ataka mazungumzo yafanyike Jubilee

  Seneta wa nairobi mike Sonko ametupilia mbali madai kuwa huenda akawa mgombea mweza wa Peter Kenneth katika kinyanganyiro cha ugavana Nairobi. Sonko amesema kuwa yuko tayari kupimana nguvu na aliye...

 • Mauaji ya utata

  Mauaji ya utata

  Maafisa wa polisi  huko Gatanga wanamzuia mwanamume mmoja ambaye ni mshukiwa mkuu wa kutekeleza mauaji ya mfanyabiashara maarufu mjini thika , Joyce Wambui Githitu. Jamaa huyo anayefahamika kama morr...

Show more
/* This script will parse the query string parameters for deep linking appropriately */ if (document.getElementById('sfpage')) { var sfurl = document.getElementById('sfpage').src; document.getElementById('sfpage').src = sfurl + location.hash; }