logo

Articles by Sam Gituku


 • 05 Jan 2018
  Rais aongoza hafla ya kuzindua vitabu vya kusoma

  Rais aongoza hafla ya kuzindua vitabu vya kusoma

  Rais Uhuru Kenyatta amezindua mpango wa kuwasilisha vitabu vya kusomea kwa wanafunzi wote wa kidato cha kwanza, darasa la saba na la nane wa shule za umma. Mpango huo ambao utagharimu serikali bilioni...

 • 03 Jan 2018
  Mfumo wa 2-6-6-3 kuanza kutekelezwa rasmi

  Mfumo wa 2-6-6-3 kuanza kutekelezwa rasmi

  Wizara ya elimu sasa itafanya majaribio ya mtaala mpya wa elimu wa 2-6-6-3 katika shule zote kote nchini wanafunzi wa shule za chekechea na darasa la kwanza na la pili wakifundishwa kulingana na mfumo...

 • 02 Jan 2018
  Shule zilizofunguliwa bado hazijui ni vitabu vipi vitatumika

  Shule zilizofunguliwa bado hazijui ni vitabu vipi vitatumika

  Hatma ya Kutekelezwa kwa mtaala mpya wa elimu itabainika hapo kesho katika mkutano wa kamati andalizi ya mtaala huo pamoja na kamati za kiufundi ambazo zimekuwa zikifuatilia mchakato huo. Baadhi ya sh...

 • 01 Jan 2018
  Watu 2 wafariki katika eneo la Sachangwan

  Watu 2 wafariki katika eneo la Sachangwan

  Watu Wawili wamefariki katika eneo la Kibunja karibu na Sachangwan katika barabara ya Nakuru kwenda Eldoret. Ajali hiyo imetokea siku moja tu baada ya watu 38 kufariki katika barabara hiyo hiyo, huku ...

 • 31 Dec 2017
  Watu 38 wafariki kwenye ajali iliyotokea alfajiri eneo la Migaa

  Watu 38 wafariki kwenye ajali iliyotokea alfajiri eneo la Migaa

  Wizara za uchukuzi na usalama wa taifa zimesitisha safari za usiku za magari ya uchukuzi wa umma kufuatia ajali iliyowaua wakenya 38 huko Migaa katika barabara ya Nakuru kwenda Eldoret. Waziri wa uchu...

 • 28 Dec 2017
  Mtaala mpya wa udereva kuanza mwezi Januari

  Mtaala mpya wa udereva kuanza mwezi Januari

  Kuanzia Januari mwaka ujao madereva wa magari ya umma watahitajika kuwa wamefikisha umri wa miaka 22 huku wale wa trela wakihitajika kutimu umri wa miaka 28 kabla ya kupata leseni. Hii ni kwa mujibu w...

 • 20 Dec 2017
  Wavulana wengi wamepita kuliko wasichana

  Wavulana wengi wamepita kuliko wasichana

  Idadi ya wanafunzi waliohitimu kujiunga na vyuo vikuu imeendelea kupungua katika mtihani wa KCSE wa mwaka huu sasa ikiwa elfu sabini pekee. Hii ni kulingana na matokeo yaliyotolewa na waziri wa elimu ...

 • 19 Dec 2017
  Mikakati kabambe yawekwa kudhibiti ajali barabarani

  Mikakati kabambe yawekwa kudhibiti ajali barabarani

  Mashirika ya uchukuzi wa umma ambayo madereva wao wanasababisha ajali za barabarani na kusababisha vifo sasa yatafutiliwa bali huku madereva husika wakipokonywa leseni ya udereva. Hii ni kwa mujibu wa...

 • 15 Dec 2017
  Jaji mkuu David Maraga ahimiza ushirikiano serikalini

  Jaji mkuu David Maraga ahimiza ushirikiano serikalini

  Jaji Mkuu David Maraga ameyataka matawi matatu ya serikali kushirikiana katika kuwahudumia wakenya na kutojihusisha na mikwaruzano akisema Bunge, Idara ya Mahakama na serikali kuu zinafaa kuheshimu uh...

 • 14 Dec 2017
  Wanachama wa KNUT wazua zogo wakitaka Sossion ajiuzulu

  Wanachama wa KNUT wazua zogo wakitaka Sossion ajiuzulu

  Vurumai zilizuka katika mkutano wa muungano wa walimu nchini KNUT katika kaunti ya Mombasa pale baadhi ya wanachama kutoka matawi mbalimbali walizusha vurugu wakimtaka katibu mkuu wa muungano huo Wils...

 • 12 Dec 2017
  Rais aahidi kuimarisha maendeleo ya nchi

  Rais aahidi kuimarisha maendeleo ya nchi

  Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kupigwa marufuku kwa leseni zote za wavuvi kutoka nchi za kigeni hadi pale watawahusisha wakenya katika kazi za uvuvi na maandalizi ya samaki. Rais amesema haya alipofaf...

 • 07 Dec 2017
  Raila atatenda uhaini akijiapisha, hukumu yake ni kifo - Muigai asema

  Raila atatenda uhaini akijiapisha, hukumu yake ni kifo – Muigai asema

  Mwanasheria mkuu Githu Muigai ameuonya muungano wa NASA dhidi ya kutekeleza mpango wao wa kumwapisha Raila Odinga kama Rais akisema hatua hiyo itakuwa uhaini na adhabu yake ni kifo. Muigai amesema hay...

 • 06 Dec 2017
  Wasifu wa Nyenze na siasa zake

  Wasifu wa Nyenze na siasa zake

  Mareheme Francis Nyenze Atakumbukwa na wengi kwa msimamo wake mkali wa kisiasa alipomtetea kinara wake wa Wiper Kalonzo Musyoka ateuliwe kuwa mgombea wa Urais Katika muungano wa NASA. Aidha aliwahi ku...

 • 04 Dec 2017
  Serikali kununua vitabu vya kusoma mwakani

  Serikali kununua vitabu vya kusoma mwakani

  Wanafunzi wa kidato cha kwanza watapata vitabu sita vya masomo ya lazima (core subjects) kuanzia Januari mwaka ujao kutoka kwa wizara ya elimu. Waziri wa elimu Fred Matiang’i ametangaza mwamko huo m...

 • 01 Dec 2017
  Maelfu watuma maombi ya kazi ya ukatibu kwenye wizara

  Maelfu watuma maombi ya kazi ya ukatibu kwenye wizara

  Tume inayowaajiri maafisa wa umma PSC inatarajiwa kuanza kuchuja orodha ya wakenya zaidi ya elefu mbili waliioomba nafasi za ukatibu katika wizara za serikali kuanzia Jumatatu wiki ijayo. Mweyekiti wa...

 • 30 Nov 2017
  Orodha ya uongozi wa NASA bungeni yazusha balaa

  Orodha ya uongozi wa NASA bungeni yazusha balaa

  Tofauti zimeibuka katika muungano wa NASA baada ya chama kinachoongozwa na Musalia Mudavadi ANC kudai kwamba kilichezewa shere katika uteuzi wa viongozi wa muungnao huo bungeni. Wakiongozwa na mbunge ...

 • 29 Nov 2017
  Uhalali wa kuapisha Odinga

  Uhalali wa kuapisha Odinga

  Tangazo la kinara wa NASA Raila Odinga kwamba ataapishwa tarehe kumi na mbili mwezi ujao huenda likazua mtafaruku wa kisheria na hata kisiasa, huku katiba ikiharamisha hatua kama hiyo wakati Rais Uhur...

 • 18 Nov 2017
  Maraga: Tunaendelea kuandika uamuzi

  Maraga: Tunaendelea kuandika uamuzi

  Jaji Mkuu David Maraga anasema Majaji sita wa mahakama ya upeo wangali wanaandika uamuzi wao kuhusu kesi mbili zinazonuia kubatilisha uchaguzi wa Oktoba 26 uliompa Uhuru Kenyatta Ushindi. Akizungumza ...

 • 17 Nov 2017
  Ujio wa Odinga wagubikwa na ghasia na uharibifu wa mali

  Ujio wa Odinga wagubikwa na ghasia na uharibifu wa mali

  Safari ya ujio wa Raila Odinga kutoka Uingereza ilikumbwa na vurugu, ghasia na uharibifu wa mali huku baadhi ya wasafiri wakilazimika kubadilisha ratba zao katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Wen...

 • 16 Nov 2017
  Vikao vya kusikiliza kesi ya urais vyakamilika katika mahakama ya kilele

  Vikao vya kusikiliza kesi ya urais vyakamilika katika mahakama ya kilele

  Mawakili wa Rais Mteule Uhuru Kenyatta wametetea kuchaguliwa kwake kwa muhula wa pili katika mahakama ya upeo wakitaja kesi mbili zilizowasilsihwa kama za kisiasa. Aidha walalamishi katika kesi hizo w...

Show more