Articles by Simon Kigamba


 • Mtoto wa miezi 10 apatikana na sindano 14 mwilini

  Mtoto wa miezi 10 apatikana na sindano 14 mwilini

  time updated

  Mtazamaji katika kisa cha kustaajabisha mtoto wa miezi kumi anauguza majeraha katika hopsitali ya Thika ya level five baada ya kupatikana na sindano k...

 • Uhuru akosoa sababu za mahakama ya juu kufuta ushindi wake

  Uhuru akosoa sababu za mahakama ya juu kufuta ushindi wake

  time updated

  Rais Uhuru Kenyatta ameutaja uamuzi wa mahakama ya juu wa kubatilisha uchaguzi wa urais wa Agosti nane kama mapinduzi ya serikali. Kauli hiyo ameitoa ...

 • Rais aongoza Jubilee Nyanza, Kisumu na kupokewa vyema

  Rais aongoza Jubilee Nyanza, Kisumu na kupokewa vyema

  time updated

  Rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto leo walielekeza kampeni za Jubilee katika kaunti za Homa Bay na Kisumu ambapo walizundua miradi kadhaa ...

 • Viongozi wa Jubilee waingia Narok

  Viongozi wa Jubilee waingia Narok

  time updated

  Rais Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa serikali haitawavumilia wanasiasa chochezi na kuwa ni sharti uchaguzi mkuu ufanyike tarehe 8 Agosti mwaka huu. Ka...

 • Ajali nyingine yatokea katika eneo la Mwatate

  Ajali nyingine yatokea katika eneo la Mwatate

  time updated

  Ilikuwa ni majonzi huko Wundanyi wakati jamaa na marafiki walijitokeza kumzika mwanamke mmoja kutoka Mombasa.  Lakini la kutia msumari kwenye kidonda...

 • Wawaniaji wa ugavana na ubunge wawalisha stakabadhi zao

  Wawaniaji wa ugavana na ubunge wawalisha stakabadhi zao

  time updated

  Tukigeukia masuala ya uchaguzi mkuu, leo ilikuwa zamu ya wawaniaji wa ugavana na ubunge kuwasilisha vyeti vyao kwa maafisa wa tume ya uchaguzi IEBC, i...

 • Mjomba wa watoto 3 waliopatikana wameuawa azuiliwa na polisi

  Mjomba wa watoto 3 waliopatikana wameuawa azuiliwa na polisi

  time updated

  Siku mbili baada ya miili ya watoto watatu wa familia moja kupatikana katika Mto Nzoia kaunti ya Uasin Gishu uchunguzi kuhusu mauaji hayo umeanzishwa ...

 • Watoto 3 wa mwaniaji wa udiwani wapatikana wameuawa mtoni Nzoia

  Watoto 3 wa mwaniaji wa udiwani wapatikana wameuawa mtoni Nzoia

  time updated

  Watoto watatu wa mgombea wa kiti cha uwakilishi wa wadi ya Kapsoya kaunti ya Uasin Gishu James Ratemo, wamepatikana wameuawa. Wakati huo huo polisi wa...

 • Kioja harusini Nyeri

  Kioja harusini Nyeri

  time updated

  Kulikuwa na vioja katika kanisa la Kanyama PCEA eneo la Mathira kaunti ya Nyeri pale mke halali alipozua sarakasi nje ya lango la kanisa hilo akitaka ...

 • Makatibu wakuu 12 wahamishwa

  Makatibu wakuu 12 wahamishwa

  time updated

  Aliyekuwa katibu katika wizara ya afya Nicholas Muraguri amehamishiwa katika wizara ya ardhi. Muraguri ni miongoni mwa makatibu wengine 11 waliohamish...

 • Akaunti 6 za gavana Joho zafungwa kwa siku 10

  Akaunti 6 za gavana Joho zafungwa kwa siku 10

  time updated

  Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA sasa imefunga akaunti zote za benki zinazomilikiwa na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho kwa siku kumi. Aidha, ...

 • Mkutano wa NASA Wafanyika uwanjani Muliro, Mathare

  Mkutano wa NASA Wafanyika uwanjani Muliro, Mathare

  time updated

  Muungano wa NASA umeikosoa serikali ya Jubilee kuhusu miradi ya maendeleo ambayo Jubilee inajivunia kuikamilisha. Vinara wa NASA waliandaa mkutano kat...

 • ODM yatoa ratiba ya uteuzi wa wagombea viti

  ODM yatoa ratiba ya uteuzi wa wagombea viti

  time updated

  Chama cha ODM kimetoa ratiba ya uteuzi wa wagombea wa viti mbalimbali vya kisiasa kwa tikiti ya chama hicho, huku chama cha FORD Kenya kikiwataka wake...

 • Naibu wa mwalimu mkuu wa Alliance achunguzwa

  Naibu wa mwalimu mkuu wa Alliance achunguzwa

  time updated

  Naibu mwalimu mkuu washule ya upili ya Alliance Boys Nick Ndege anachunguzwa kuhusiana na visa vya unyanyasaji kwa wanafunzi hasa wa kidato cha kwanza...

 • Polisi waliomuua Kwekwe Mwandaza washindwa kwenye rufaa

  Polisi waliomuua Kwekwe Mwandaza washindwa kwenye rufaa

  time updated

  Polisi waliomuua Kwekwe Mwandaza sasa wataekea jela kutumikia kifungo cha miaka saba baada ya kushindwa kwenye kesi ya rufaa. Mwandaza aliuawa kwa kup...

 • Watu 14 waangamia kwenye ajali Meru

  Watu 14 waangamia kwenye ajali Meru

  time updated

  Watu kumi na nne wameripotiwa kufariki kwenye  ajali mbaya ya barabarani  eneo la Kiengu  katika barabara ya Maua na Garbatulla.  Ajali hiyo iliyo...

 • Shabhal ataka walanguzi wanyongwe

  Shabhal ataka walanguzi wanyongwe

  time updated

  Mgombea wa ugavawa katika kaunti ya Mombasa Suleiman Shahbaal amependekeza kuwa sheria za kukabiliana na walanguzi wa dawa za kulevya zibadilishwe ili...

 • Seneta Njoroge afikishwa kortini leo

  Seneta Njoroge afikishwa kortini leo

  time updated

  Mahakama imemwachilia kwa dhamana Seneta maalumu Paul Njoroge aliyefikishwa kortini kufuatia tukio la jana ambapo alifyatua risasi hewani katika kituo...

 • Mahakama yasita tena kuwafunga jela madaktari

  Mahakama yasita tena kuwafunga jela madaktari

  time updated

  Mahakama ya viwandani kwa mara nyingine imewapatia madaktari nafasi ya kuendelea na mazungumzo. Jaji Hellen Wasilwa ameahirisha kwa siku saba hukumu y...

 • Serikali yasema haiwezi kukubali matakwa yote ya madaktari

  Serikali yasema haiwezi kukubali matakwa yote ya madaktari

  time updated

  Madaktari wamezima matumaini ya wagonjwa kwa kukataa nyongeza ya mishahara na marupurupu yaliyopendekezwa na serikali. Katika kikao na waandishi wa ha...

Show more load moreLoading. Please wait...