logo

Articles by Citizen Reporter


 • 23 Jan 2017
  Uhuru atembelea maeneo ya Samburu na Laikipia

  Uhuru atembelea maeneo ya Samburu na Laikipia

 • Jambazi la M-pesa lahangaisha wakazi

  Jambazi la M-pesa lahangaisha wakazi

  Wanabiashara katika eneo la Pipeline hapa jijini Nairobi wameitaka serikali kuwasaidia kumtia mbaroni jambazi sugu anayevamia biashara za M-pesa akitumia bastola. Uchunguzi uliofanywa na Runinga ya Ci...

 • Kalonzo azuru Ukambani

  Kalonzo azuru Ukambani

  Kiongozi wa chama cha wiper Kalonzo Musyoka hi leo amewasihi viongozi wenzake kutoka katika mrengo wa Cord, kumuunga mkono kwa kumruhusu awanie kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao kwani yeye amet...

 • Mgomo wa madaktari waingia siku ya 50

  Mgomo wa madaktari waingia siku ya 50

  Muungano wa madaktari kmpdu sasa unawataka waziri wa afya dkt. Cleopha Mailu na katibu wake Dkt Nicholus Muraguri kujiuzulu kwa kushindwa kumaliza mgomo huo na badala yake kuzozana wao kwa wao. Maa...

 • Mpango wa Wings to Fly wanoga wazinduliwa Kasarani

  Mpango wa Wings to Fly wanoga wazinduliwa Kasarani

  Serikali imeendelea kuhimiza wakenya kuwekeza katika taasisi za  kiufundi humu nchini kama njia moja ya kuhakikishia wanafunzi wanapata mafunzo ya kuwawezesha kupata ajira. Waziri wa elimu doctor ...

 • Juhudi za kumpigia debe Waziri Amina zaendelea

  Juhudi za kumpigia debe Waziri Amina zaendelea

  Kipindi kikiwa cha lala salama, nchi ya Kenya ina imani tele kuwa waziri wa maswala ya nje amina

 • Anne waiguru picks a runningmate

  Former CS Anne Waiguru names running mate for Kirinyaga governorship race

  Former Devolution Cabinet Secretary and Kirinyaga governorship aspirant Anne Waiguru has named Peter Ndambiri as her running mate. Waiguru made the announcement during mass registration drives at K...

 • 22 Jan 2017
  Onyango Oloo is a bitter, dishonest man - Sakaja

  Onyango Oloo is a bitter, dishonest man – Sakaja

  Former TNA chairman and Nairobi gubernatorial aspirant, Johnson Sakaja, has accused Onyango Oloo, who served as the party’s Secretary General, of spreading false information about the party and the ...

 • Rais Kenyatta yuko ziarani eneo la kati

  Rais Kenyatta yuko ziarani eneo la kati

  Rais Uhuru Kenyatta amesema yuko tayari kumkabidhi madaraka yeyote atakayembwaga katika kinyang’anyiro cha ikulu mwezi agosti. Kenyatta amesisitiza kuwa, kama mwanademokrasia, anatambua uamuzi ku...

 • Mgomo wa madaktari

  Mgomo wa madaktari

  Na sasa tuangazie mgomo wa madaktari ulioingia siku yake ya 49. Imebainika kuwa huenda ni vita vya ubabe miongono mwa maafisa wa wizara hiyo ambavyo vinalemaza hatua zilizopigwa kumaliza mgomo huo. ...

 • Siasa za Nairobi

  Siasa za Nairobi

  Gavana wa Nairobi Evans Kidero ana imani kuwa atatetea kiti chake katika kaunti ya nairobi  katika uchaguzi mkuu ujao. Nao baadhi ya wanasiasa kutoka jubilee wana imani kuwa chama hicho kitampata ...

 • Wajue kabila la Ogiek

  Wajue kabila la Ogiek

  Wamedharauliwa kwa zaidi ya miongo mine, mtazamaji sio wengine bali watu kutoka jamii ya waogiek… Baada ya kushinda kesi iliyobaki mahakamani kwa zaidi ya miaka ishirini hakuna kilichobadilika lich...

 • 21 Jan 2017
  Ford Kenya disowns Governor

  Ford Kenya disowns Governor

  The Ford Kenya party led by the Coalition for Reforms and Democracy (CORD) co-principal, Moses Wetangula, has disowned Trans Nzoia Governor, Patrick Khaemba, on grounds of not adhering to the party po...

 • Eldoret-based lawyer, Simion Lilan, who had moved to court seeking to stop the burial of ...

  Police ordered to arrest lawyer Simon Lilan who had gone missing

  Police have been ordered to arrest Eldoret-based Lawyer, Simon Lilan, who had been reported missing for 12 days but resurfaced in Nairobi on Friday, January 21. Uasin Gishu Police Commander, Ole Ki...

 • 20 Jan 2017
  Former CS Anne Waiguru leads mass voter listing campaign in Kirinyaga

  Former CS Anne Waiguru leads mass voter listing campaign in Kirinyaga

  Former Devolution Cabinet Secretary, Anne Waiguru, has launched mass voter registration mobilisation exercise in Kirinyaga County ahead of President Uhuru Kenyatta’s visit of the county. The Kiri...

 • 19 Jan 2017
  Siasa za NASA

  Siasa za NASA

  Muungano mkuu wa upinzani National Super Alliance ,NASA, huenda ukabuniwa rasmi na vyama vya upinzani vikiwemo muungano wa CORD, Amani national congress ANC pamoja na KANU. Hayo yamedokezwa leo katika...

 • Nakuru residents to demonstrate over water shortage

  Nakuru residents to demonstrate over water shortage

  Residents of Nakuru are threatening to stage demonstrations to Governor Kinuthia Mbugua’s office over what they term as ‘poor management of water points’ following the prolonged shortage in the ...

 • 18 Jan 2017
  Wanasiasa wazidisha kampeni za kura

  Wanasiasa wazidisha kampeni za kura

  Wanasiasa kutoka maeneo mbali mbali wamejitokeza kuwahimiza wakenya ambao hawajajiandikisha kupiga kura ,kufanya hivyo kwani ndio tumaini lao huku wakisisitiza kwamba kura yako ni haki yako ya kimsing...

 • Katibu Mkuu wa zamani wa TNA ahamia ODM

  Katibu Mkuu wa zamani wa TNA ahamia ODM

  Aliyekuwa katibu mkuu wa chama cha TNA Onyango oloo amekihama chama cha Jubilee na kujiunga na ODM. Akihutubu mjini Kisumu, oloo alisema kuwa hatua aliyochukua ndiyo bora zaidi ya kumwezesha kukuza ta...

 • Waziri Bett apiga marufuku ndege kutoka Uganda

  Waziri Bett apiga marufuku ndege kutoka Uganda

  Serikali imepiga marufuku ununuzi wa kuku na bidhaa zake kutoka nchi ya Uganda kutokana na mlipuko wa maradhi ya homa ya ndege nchini humo. Waziri wa kilimo na mifugo willy bett anasema hatua hiyo ime...

Show more