Tanzanias Ray C responds to allegations that shes back on drugs

After a Tanzanian publication accused singer Ray C of being spotted in a drug den, the singer lashed out on social media, saying that she would see them in court.

The Mama Nitilie star, who has had a much publicised history with drug abuse, refuted claims that she had gone back to her old ways.

Sharing an image of the front-page splash, she questioned why the tabloid would post such a damning story without a shred of evidence to support their claims.

In the lengthy and emotional post, Ray C accused the publication and the journalist of soiling her image to sell papers.

The singer said that is the story was indeed true, the publication should have posted an image of her using or purchasing the drugs instead of lifting a selfie from her Instagram page.

You can read the full rant below:

Seriously kwa kweli huwa naumia sana sana kuona binadam mwezangu anadiriki kuniharibia jina langu ilj yeye apate kula!hamjui mnaniathiri kiasi gani na hizi habari zenu?Hivi unadirikije kuandika usengwile kama huu bila hata aibu wala picha ya kuisapoti hiyo habari yani ni ujinga ujinga tu umeunganishwa na picha yangu bila hata uoga mmeichukua kutoka kwwnye page yangu ya insta bassss tayari mmeshapata story ili mradi tu mniharibie maisha yangu ili nyie mpate pesa mi nife maskini!!!

Kama kweli mnauhakika na mlichoandika kwanini hamkuweka picha yangu nikivuta hayo maunga badala yake mnaweka picha ya kituo cha mkunguni ambapo madaladala husimamisha kituoni hapo. Mmepiga picha ya kituo cha mkunguni mkaona haitoshi mkaingia kwenye page yangu ya insta na kuchukua picha yangu niliojipiga mwenyewe ndio mnazitumia kunichafulia jina langu tena wakati ndio kwanza nahangaika kurudi tena kwenye kazi yangu.

Haki ya mungu sijawahi kuskia hata siku moja nyie mmeandika kuhuau foundation yangu na mambo mazuri iliofanya,je mnajua kama mpaka sasa nimeshatoa vijana zaid ya sabini kwenye madawa na wako fit wanatumia methadone je mnajua hilo?Hata siju moja sikawahi pata msaada wowote kutoka kwenu japo kunichangia nauli. Tu ya kuja kwenye dawa kila siku hakuna hata anaenisaidia huu mwaka wa tatu bado naendelea kunywa dawa na ni kila siku ya mungu siku saba kwa wiki hakuna sikukuu wala msiba na ukikosa mwili unauma vibaya sana yani its not easy but am a [expletive] hard working woman na ni mwanamke jasiri napambana na siogopi kujaribu,naparangana na haya madawa na nayapinga na kamwe sintorudi nyuma na hizi nuksi mzipeleke kwenye familia zenu,wewe shigongo unamkosea sana mungu!unajifanya mlokolw lakini kazi yako ni kuharibia maisha ya wenzio unasahau kuwa malipo ni hapahapa duniani!Mimi ni kapuku tu sina mbele wala nyuma mbele yako lakini bado unanichimbia kaburi angali mi mzima.

Na wewe Mayasa Marwata ni [abusive text] usie jua kazi yako!nimeisoma stori yako nimegundua ni mvivu wa kufatilia habari!Eti Chimbo LA unga langu lajulikana sasa kama ushalijua mbona haukunipiga nikivuta huo unga unaenda kupiga picha kituo cha daladala bwege we! Ntapambana na nyie MAHAKAMANI. (sic)” read the post.

 

Tags:

ray c Tanzania drugs

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories