Men from Kawangware, Korogocho speak on need for recognition, reduction of unpaid care and domestic work

By Rachel Ombaka “When we were brought up, hatukuwa tunafanya kazi ya jikoni. Vijana hawakuwa na mambo ya kusaidia nyumbani. Sisi kazi yetu ilikuwa ni kufyeka [nyasi], kuchunga ng’ombe au kuenda shule na kurudi. Tukirudi, tulikuwa tunapata mama na sisters wangu wameshashughulika [chakula] huko jikoni, tunakula na [kupumzika]. Nilipomaliza kusoma nikaja Nairobi nilipata kibarua na … Continue reading Men from Kawangware, Korogocho speak on need for recognition, reduction of unpaid care and domestic work