Shughuli ya kuwapa fidia waathiriwa wa ghasia za kisiasa za mwaka wa 2007/2008 katika kaunti ya Nyamira yakosa kuendelea

Shughuli ya kuwapa fidia waathiriwa wa ghasia za kisiasa za mwaka wa 2007/2008 katika kaunti ya nyamira imekosa kuendelea hii leo baada ya zaidi ya waathiriwa 9,000 waliofika kupokea fidia kuandamana wakidai kuwa majina ya baadhi yao hayakuwa kwenye orodha ya watu waliopaswa kupata fidia.waathiriwa hao pia walidai kuwa kuna watu waliokuwa wakipokea fidia na hawakuaathiriwa vyovyote vile.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories