8-4-4 huenda ikabadilishwa na kuwa 2-6-6-3

Mtaala wa 8-4-4 huenda ukafutiliwa mbali iwapo mapendekezo ya kuumaliza yatapitishwa. Mfumo mpya wa 2-6-6-3 ndio utachukua pahala pake na ambao utafutilia mbali mitihani ya kitaifa ya KCPE na KCSE. Mapendekezo haya yatawasilishwa na waziri wa elimu Fred Matiang’i na yananuia kujenga wanafunzi kuwa na mtizamo mpya ambao misingi yake sio kupita tu mitihani ya kitaifa.

Tags:

Fred Matiang'i 2-6-6-3 wizara ya elimu 8-4-4 Mtaala wa elimu

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories