“Alikuwa Shujaa”

 Mwanafunzi mmoja aliyefariki kwenye mkasa wa moto wa shule ya SDA labuiywo siku ya jumamosi alizikwa hii leo katika kijiji cha Sokossik eneo la Tinderet Kaunti ya Nandi. Elvis Kipkosgei aliyekuwa na umri wa miaka 10 ni mmoja wa vijana 3 waliopoteza maisha yao katika juhudi za kuwaokoa wanafunzi wenzao waliokuwa ndani ya bweni hilo lililoteketea moto na kuwaacha wanafunzi 3 kupoteza maisha yao. Pheona Kengah na taarifa hiyo…

 

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories