“Nunua Umbo”

Mtindo mpya wa kupunguza mafuta mwilini  kwa kutumia barafu bila kufanyiwa upasuaji wowote maarufu kama ‘cool sculpting’ unaendelea kupata umaarufu hapa Kenya. Kulingana na daktari Pancholi ni kuwa matibabu haya hufanyiwa wanawake na wanaume kati ya umri wa miaka 22 na 65 ambao wanahitaji kupunguzwa sehemu za mwili zilizo na mafuta. Mwanahabari wetu Pheona Kengah alitembelea kiliniki moja maarufu hapa jijini inayopatiana matibabu haya na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories