Afia wa polisi atuhumiwa kuua ndani ya kituo cha Machakos


Familia moja katika kaunti ya Machakos imejawa na majonzi baada ya kumpoteza baba yao. Benson Wambua alikuwa kibarua katika kituo cha polisi cha Machakos na aliuawa katika hali ya kutatanisha.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author