Afisa wa polisi awapiga risasi wenzake wawili Baringo

Msako mkali umeanzishwa katika kaunti ya Baringo dhidi ya afisa mmoja wapolisi wa  utawala aliyewaua kwa kuwapiga risasi maafisa wenzake wawili, huku mmoja akiponea na majeraha. Mwito umetolewa kwa wenyeji katika eneo hilo kuwa waangalifu kwani afisa huyo  alitoroka na bunduki aina ya AK 47.

Tags:

Baringo police shooting

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories