Afisa wa trafiki anaswa akipokea hongo


Afisa mmoja wa trafiki amenaswa waziwazi kwenye kamera akiitisha rushwa kutoka kwa dereva mmoja wa asili ya kiganda. Dereva huyo alilazimika kutoa hongo ya shilingi elfu moja baada ya polisi huyo kumsisitizia ampe hongo kinyume na maadili na sheria. Inspekta jenerali wa polisi amehakikisha kuwa afisa huyo atachukuliwa hatua za kinidhamu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Patrick Igunza
More by this author