Afueni kwa akina yahe

Bunge la kitaifa hii leo liliidhinisha mswada wa kifedha unaopania kupunguza bei ya bidhaa kama vile unga, maziwa na sukari. Wabunge sasa wanahitajika kuleta mapendekezo yao ya vipi bei ya bidhaa itapunguzwa kabla ya mswada huo kupelekewa rais kutiua sahihi. Steven letoo na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories