Afya ya Kibaki

Rais mstaafu mwai kibaki hii leo amejitokeza kwa mara ya kwanza mbele ya umma tangu kutokea kwa taarifa za kuugua kwake ambapo alipata matibabu katika hospitali ya Karen kabla ya kusafirishwa hadi jijini Johannesburg afrika kusini kupokea matibabu zaidi. Kibaki hii leo alihudhuria ibada ya jumapili katika kanisa la Consolata shrine eneo la Westland’s ambapo alionekana kuwa mbuheri wa afya.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories