Ajali nyingine yatokea katika eneo la Mwatate

Ilikuwa ni majonzi huko Wundanyi wakati jamaa na marafiki walijitokeza kumzika mwanamke mmoja kutoka Mombasa.  Lakini la kutia msumari kwenye kidonda, waliokuwa wakisafirisha maiti hapo jana akiwemo mumewe waliangamia kwenye ajali katika barabara ya Voi kwenda Mwatate. Watu watano wa familia moja wakapoteza maisha.

Tags:

Mwatate voi ajali ya barabarani

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories