Ajuza afikisha miaka 125 kaunti ya Nandi

Mtazamaji wasemao husema kwamba kuishi kwingi ni kuona mengi,msemo huu  ni wazi kwake Ludia Jepkemboi ajuza mwenye umri wa miaka mia moja ishirini na mitano anayeishi katika kijiji cha sarma kaunti ya nandi.daniel wanjala anatuarifu zaidi  kuhusu maisha na familia ya Jepkemboi  kwa ujumla.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories