Ajuza wa miaka 65 ambaye haoni achapa kazi
Published on: January 27, 2017 08:29 (EAT)
Watu wengi wamechukulia ulemavu kuwa kitega uchumi kwa kuwa omba omba mitaani ili kujipatia mkate wa kila siku, lakini kwa mama mmoja mwenye umri wa miaka 65 ambaye ni mlemavu wa macho, amejitwika jukumu la kijitafutia riziki yake mwenyewe kwa kushona kamba na kuwauzia wafugaji katika kaunti ya Pokot Magharibi ili kujipatia mapato ya kila siku.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment