Akaunti 6 za gavana Joho zafungwa kwa siku 10

Mamlaka ya ukusanyaji ushuru nchini KRA sasa imefunga akaunti zote za benki zinazomilikiwa na gavana wa Mombasa Ali Hassan Joho kwa siku kumi. Aidha, kulingana na barua pepe iliotumwa katika vyombo vya habari, gavana huyo haruhusiwi kutoa au kuhamisa fedha zake kwenye akaunti sita.

Tags:

KRA Hassan Joho akaunti za benki

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories