Al Ghurair yamaliza kuchapisha karatasi milioni 20.4 za kura


Kampuni ya Al Ghurair jijini Dubai imekamilisha shughuli ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura zaidi ya milioni 20 za uchaguzi wa urais wa wiki ijayo. Licha ya upinzani kupinga kutekelezwa kwa kandarasi hiyo na kampuni hiyo, tume ya IEBC inasema imezingatia mbinu mpya za kuhakikisha usalama wa mchakato wa uchaguzi huku fomu zingine tatu zikichapishwa kufuatilia shughuli za Alhamisi ijayo na hata baadaye.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Bobi Wine: Where I come from politician means lying and manipulating people #JKLive

Story By Sam Gituku
More by this author