Al Ghurair yapewa ridhaa kuchapisha karatasi za kura ya urais

Tume ya uchaguzi IEBC sasa iko huru kuendelea na uchapishaji wa karatasi za uchaguzi wa urais katika  kampuni ya Al Ghurair huko Dubai. Hii ni baada ya mahakama ya rufaa kutupilia mbali uamuzi wa mahakama kuu ambao ulikuwa umesimamisha shughuli hiyo kwa misingi kuwa sio lazima umma uhusishwe hasa katika ununuzi wa moja kwa moja.

Tags:

IEBC raila odinga JUBILEE kalonzo musyoka NASA Al Ghurair Court of Appeals

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories