Alfred Mutua na Ali Roba ni magavana wa kwanza kuapishwa

Gavana wa Machackos Alfred Mutua amekuwa gavana wa kwanza kuapishwa na kuanza rasmi hatamu ya pili baada ya kuchaguliwa tena kuongoza kaunti ya machackos. Gavana wa Mandera Ali Roba pia ameapishwa kuanza kipindi kingine cha miaka mitano.

Hassan Mugambi alihudhuria hafla hiyo na kutuandalia taarifa ifuatayo.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories