Aliyekuwa Mbunge wa Kilome Harun Mwau aelekea mahakamani kupinga ushindi wa Rais Kenyatta

 

Rais Uhuru Kenyatta sasa hataapishwa akatika siku saba zijazo.hii ni baada ya kesi za kupinga uchaguzi wa Oktoba ishirini na sita kuwasilishwaamahakamani. Aliyekuwa mbunge wa kilome harun mwau amerejesha kesi katika mahakama ya upeo kusisitiza kwa uchaguzi huo haukua halali kwasababu shughuli ya uteuzi haikufanyika.   Haya ni huku shirika la Institute For Democratic Governance likiitaka mahakama ya upeo kuwapata vinara wa NASA na hati ya kukiuka sheria za uchaguzi kwa madai ya kuvuruga matayarisho ya uchaguzi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories