Aliyekuwa naibu rais Emmerson Mnangagwa kuapishwa kama rais
Published on: November 22, 2017 09:28 (EAT)
Huenda taifa la Zimbabwe likapata rais mpya kufikia siku ya ijumaa. Hii ni baada ya chama cha Zanu-Pf kuwasilisha jina la aliyekuwa Naibu Rais Emmerson Mnangagwa kama chaguo atakayeongoza taifa hilo baada ya Rais Mugabe kujiuzulu mamlakani hapo jana.
Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000
Comments
No comments yet.
Leave a Comment