Amani, utulivu zimerejea Majengo


Mtaa wa Majengo uligonga vichwa vya habari humu nchini na hata mataifa ya nje kutokana na vurumai zilizozuka mara kwa mara baina ya polisi na vijana. Hali hiyo ni tofauti kabisa sasa, huku vijana wakibuni njia mbali mbali za kujikimu na hata kuwashawishi wenzao kujiunga nao kujitafutia mkate wao wa kila siku badala ya kujiingiza katika vitendo vya uhalifu.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Citizen Team
More by this author