Ambulensi za pikipiki zaingia Kajiado


Matatizo ya kina mama wajawazito na wale waliojifungua karibuni ni mengi mno katika kaunti ya Kajiado kwa sababu ya ukosefu wa usafiri sehemu za mashinani. Hata hivyo, daktari mmoja ambaye pia ni makazi wa eneo hilo ameanzisha mradi wa ambulensi za pikipiki ili kupunguza vifo vya wanaojifungua pamoja na watoto wao wachanga.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Nancy Chepkoech
More by this author