Amir wa Qatar afanya mazungumzo na rais Kenyatta

Rais uhuru kenyatta hii leo amekutana na kiongozi wa qatar sheikh tamim bin hamad katika ikulu ya rais hapa jijini nairobi. Wawili hao wameshiriki mazungumzo ya kina yaliongazia kuimarisha ushirikiano wa kibiashara kati ya kenya na qatar.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories