Anasakwa Na Polisi Kwa Kudhulumu Bintize

Polisi Kaunti ya Kitui wako kwenye harakati za kumtafuta mwanaume anayesemekana kuwabaka wanawe wawili kabla ya kuwaua. Mwanaume huyu mwenye umri wa miaka 32 anasemekana kuwabaka watoto hao walio na umri wa mwaka moja na yule mwingine miaka minne kisha akawanyonga.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories