Andrew Udoto ajiondoa

Paul Andrew Kongani Udoto  amejiondoa kwenye orodha ya wale wanaonuia kujaza nafasi ya  Jaji Mkuu. Udoto ambaye sasa anafanya kazi ya useremala alifika mbele ya tume ya kuwaajiri wafanyikazi wa idara ya mahakama na baada ya kusailiawa kiasi alikiri kwamba hakuwa na ujuzi ambao unahitajika kwa mtu kujaza nafasi hiyo . Gatete njoroge ambaye alimfuata udoto hadi katika makazi yake eneo la githurai ametuandalia taarifa hiyo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories