Ashtakiwa Kwa Kujaribu Kumuua Mumewe

Mwanamke wa umri wa miaka 34 mama wa watoto 2 amekanusha mashtaka ya jaribio la kutaka kumuuwa mumewe kwa kutojaza mtungi wa gesi kama alivyokuwa amemuagiza.  Mbele ya hakimu Carol Ocharo Alice Wairimu Maina  alikanusha mashtaka hayo ya ya kumrushia mumewe  Peter Muriithi Kariuki jiko la mafuta taa lililokuwa likiwaka na kumsababishia majeraha kwa kumchoma.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories