Askofu Korir azikwa Eldoret

Marehemu Askofu wa Eldoret Cornelius Korir amezikwa katika kanisa la Sacred Heart huko Eldoret. Katika ibada iliyohudhuriwa na Rais Uhuru Kenyatta, viongozi wa kidini na kisiasa walimwomboleza Korir kama aliyethibiti amani wakati wote. Rais Kenyatta akiapa kuhakikisha safari ya amani inazingatiwa na kuwaonya viongozi wa upinzani kuheshimu asasi zote za kikatiba ili kutatua migogoro ilioko.

Tags:

Uhuru kenyatta william ruto eldoret Cornelius Korir

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories