Askofu wa Embu apiga marufuku siasa kanisani

Wanasiasa wamepigwa marufuku kuongoza harambee za Kanisa Katoliki, katika dayosisi ya Embu. Marufuku hiyo ya wanasiasa kanisani imetangazwa na askofu wa kanisa katoliki Embu, Paul Kariuki, akisema wanasiasa wamejulikana kuwagawanya Wakenya na wakiruhusiwa kanisani, watagawanya waumini na kama mwanahabari wetu Hassan Farah anavyotueleza baraza la makanisa nchini Kenya NCCK limeunga mkono hatua ya askofu huyo likisema kwamba makanisa yote yanastahili kuiga mfano huo.

Tags:

embu Askofu paul kariuki Wanasiasa wapigwa marufuku Embu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories