Askofu Wanjiru awachiliwa kwa dhamana ya sh 100, 000

Askofu Margaret Wanjiru amepata afueni baada ya mahakama ya juu kumwachilia kwa dhamana ya shillingi 100,000, ikitupilia mbali uamuzi wa awali wa mahakama ya kuzuiliwa kwake kwa siku tano.  Kwa kuzua ghasia na kuharibu mali kwenye kituo kimoja cha kupigia kura hapa nairobi ben kirui na mengi zaidi.

Tags:

nairobi county Jubilee primaries Bishop Magaret Wanjiru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories