Atakayependekezwa kumrithi Mutunga kujulikana Ijumaa ijayo

Atakayependekezwa kuwa Jaji Mkuu atajulikana Ijumaa ijayo. Makamishna wa tume ya huduma za idara ya mahakama wamejifungia huko Naivasha kwenye kikao cha faragha kuchambua sifa za watu 12 waliohojiwa ili kubaini mshindi atakayejaza nafasi ya jaji mkuu. Hata hivyo atapitia mchujo kama anavyoarifu mwanahabari wetu faiza maganga kabla ya kuidninishwa au kukataliwa na bunge.

Tags:

JSC jaji mkuu

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories