Athari za mgomo wa madaktari

 

Huku mgomo wa madaktari ukiingia siku ya 79 hii leo,hali ya wagonjwa inazidi kudorora  majumbani na hata wengine wakilazimika kutumia miti shamba kutokana na kukosa uwezo wa kuenda katika hospitali za kibinafsi,mama moja anaegua saratani huko njoro mjini nakuru ombi lake kuu ni madaktari kuelewana na serikali na kurudi kazini kwani wao ndio tegemeo lake.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories