Athari za SGR: Je, Waliofidiwa kwa mashamba yao wamefaidika?
Published on: July 22, 2017 09:14 (EAT)
Ni mradi uliogharimu zaidi ya bilioni thelathini ikiwemo kuwafidia wamiliki wa ardhi elfu tano kwenye reli ya SGR. Wengi walilipwa pesa hizo kutoka sehemu za Athi River, Emali, Mtito Andei na hata maeneo ya Taru lakini wengi wamezitumia kwa anasa ama ukipenda kuponda raha. Lakini je, kuna wale waliofaidika baada ya kulipwa fidia, jawabu ni katika sehemu ya pili ya makala SGR, upanga wa ncha mbili.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment