Atiati yakumba shughuli ya kumuapisha kinara wa NASA Raila odinga

Haijulikani iwapo kinara wa nasa Raila Odinga ataapishwa ifikapo Januari 30 kama ilivyoratibiwa awali. Duru zinaarifu kuwepo kwa mgawanyiko kati ya vinara wenza katika muungano huo huku mashinikizo kutoka kwa jamii ya kimataifa yakizidi kuvuruga hesabu za muungano huo. Hapo kesho Vinara hao wanatarajiwa kuhutubia wanahabari kuzungumzia suala hilo.

Tags:

raila odinga NASA Raila swearing in

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories