Baa la njaa

Zaidi ya wafugaji elfu kumi na mbili watanufaika na mpango wa bima unaonuia kufidia dhidi ya hasara inayotokana na makali ya ukame. Aidha mpango huu utaanza katika kaunti sita kabla ya kuenzwa katika kaunti zingine. Denis Otieno anatupasha zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories