Baa la njaa lanukia
Published on: September 23, 2017 08:27 (EAT)
Huwenda Njaa kali ikalikumba taifa mwaka ujao. Hali hii inaashiriwa na kuharibika kwa mahindi mengi mashambani hata kabla hayajavunwa katika kaunti ya Uasin Gishu . John Wanyama na taarifa hiyo kamili.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment