Baadhi ya wanasiasa kuzuiwa kuwania nyadhifa Agosti 8

Mgombea mmoja wa ugavana kaunti ya Mombasa amepigwa marufuku kushiriki kwenye kinyang’anyiro cha mwezi Agosti, huku wagombea wengine 105 wakikabiliwa na tishio la kucharazwa mjelezi sawa na huo, kutokana na masuala ya maadili.

Tags:

IEBC EACC wanasiasa

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories