Babu Owino akamatwa tena baada ya kuachiliwa kwa dhamana


Mbunge wa Embakasi Mashariki Paul Ongili maarufu babu owino amekamatwa upya muda mfupi baada ya kuachiliwa kwa dhamana na mahakama ya Milimani. Owino amekamatwa nje ya majengo ya mahakama hiyo baada ya kuachiliwa kwa dhamana kwa mashtaka ya kuidhalilisha afisi ya rais na kumtusi rais.

Makori Ongechi anatupasha zaidi…

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Some MPs plan to shoot down Uhuru\'s proposal on VAT

Story By Makori Ongechi
More by this author